Automatic Billing
Automation inayopunguza kazi za manual na kurahisisha billing ya WiFi.
SMART WIFI BILLING · CONNECTIVITY · CONTROL
Ingia kwenye CORE-WISP Management Platform kusimamia huduma zako za Internet na WiFi.
Sakinisha app kwenye simu yako ya Android.
Mfumo mmoja wa kusimamia huduma zako za WiFi, kutoka customer mpaka network na revenue.
Automation inayopunguza kazi za manual na kurahisisha billing ya WiFi.
Tengeneza, simamia na tumia voucher workflows kwa urahisi.
Simamia routers nyingi sehemu moja.
Network management yenye security, connectivity na monitoring.
Fuatilia sales, usage na performance ya biashara yako.
Weka customers, packages na services katika mfumo mmoja.
Rahisisha workflow ya malipo, subscription na plan management.
Anza na plan inayokufaa na upgrade kadri biashara yako inavyokua.
Mfumo wa kizazi kipya wa WiFi Billing na usimamizi wa WISP ulioundwa kurahisisha uendeshaji wa biashara za internet.
Simamia WiFi billing, wateja, vouchers na shughuli za network kwa automation au udhibiti wa manual.
Teknolojia ya API synchronization iliyoundwa kuratibu shughuli kati ya platform na routers bila kutegemea kila kazi kusubiri nyingine ikamilike.
CORE-WISP ina workflows zake za billing na usimamizi; FreeRADIUS si injini pekee inayolazimika kutumika kwa billing.
CORE-WISP ilizinduliwa Tanzania mwezi Oktoba 2026 na imetengenezwa na Gordon Vicent Mtiha, mwanafunzi wa IT katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).
Developed by Gordon Vicent Mtiha, Tanzania.
CORE-WISP inaweza kutambua familia za Access Point zinazoungwa mkono kupitia taarifa za network zinazopatikana kwenye platform. Utambuzi hutegemea taarifa hizo.
CORE-WISP ni platform ya Automatic WiFi Billing inayokusaidia kusimamia customers, vouchers, packages, billing, routers, payments, network monitoring na reports, sehemu moja.
Ni mfumo wa biashara za WiFi unaorahisisha kuuza internet, kusimamia routers na kuona taarifa za mtandao kwa wakati halisi.
Wamiliki wa hotspots, WISP, cafes, hotels, taasisi na biashara zinazouza internet.
Morogoro • SUA • Songwe, Tanzania
Kwa kutumia CORE-WISP, mtumiaji anakubali kutumia huduma kwa madhumuni halali na kufuata masharti yanayotumika kwenye huduma na subscription yake.
Tunathamini taarifa za watumiaji na matumizi ya data. Taarifa zinapaswa kutumika kwa madhumuni yanayohusiana na utoaji na uendeshaji wa huduma.
MFAMAHU MSANIDI
Software Developer · Mtengenezaji wa CORE-WISP
Mtengenezaji wa CORE-WISP, anayejenga suluhisho za kisasa za WiFi billing, usimamizi wa MikroTik hotspot na automation ya mitandao.
📍 TanzaniaKwa registration, plans, payment, upgrade au maelezo kuhusu CORE-WISP, tupo tayari kusaidia.
Uliza chochote kuhusu CORE-WISP.
Platform moja ya kusimamia customers, billing, vouchers, packages, routers, monitoring na reports. Wasiliana nasi kwa maelezo ya activation na payment.
VodacomM-Pesa
AirtelAirtel Money
YasMixx by Yas
TTCLT-Pesa
HalotelHaloPesaKwa wamiliki wa hotspots, WISP, cafes, hotels, taasisi na biashara zinazouza internet.
Ndiyo, mfumo umeandaliwa kwa usimamizi wa routers na wateja wengi kutoka dashboard moja.
Tumia ukurasa wa Contact: WhatsApp, simu, email au fomu ya swali.
TSh 10,000 ada ya installation (mara moja) na TSh 15,000 kwa mwezi. Angalia ukurasa wa Pricing.